prev next front |1 |2 |3 |4 |5 |6 |7 |8 |9 |10 |11 |12 |13 |14 |15 |16 |17 |18 |19 |20 |21 |22 |23 |24 |25 |26 |27 |28 |29 |30 |31 |32 |33 |34 |review

Wao huenda kwa nchi zinazoendelea na [RR17] wanaishawishi serikali zako kuwa mambo haya ni hatari. Na tunaona sasa kuna nchi nyingi, nyingi ambazo zimepiga marufuku kabisa GMO kwa sababu ya hofu hii ambayo imesambazwa na harakati za kupambana na GMO.